JINSI ya Kupata Barua ya Kuitwa Kazini bila kwenda Dodoma

Filed in Kuitwa Kazini by on August 22, 2025 2 Comments
JINSI ya Kupata Barua ya Kuitwa Kazini bila kwenda Dodoma

JINSI ya Kupata Barua ya Kuitwa Kazini bila kwenda Dodoma

JINSI ya Kupata Barua ya Kuitwa Kazini bila kwenda Dodoma

Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imefanya Maboresho ambapo Kuanzia Sasa Barua za kuitwa kazini zitakuwa zinapatikana kwenye Akaunti ya Ajira Portal.

Hii inaitwa Kwenda Dodoma sasa basi, huduma zote kiganjani kwako.

Endapo Jina lako likitokea katika Tangazo la kuitwa kazini kupitia tovuti ya www.ajira.go.tz , fuata utaratibu huu hapa chini ili Kudownload Barua yako ya Kuitwa Kazini.

Nenda kwenye Akaunti yako ya Ajira Portal, eneo la My application, kisha utaona maelekezo ya Kudownload barua yako ya ajira na ukaripoti katika kituo chako cha kazi ulichopangiwa.

JINSI ya Kupata Barua ya Kuitwa Kazini bila kwenda Dodoma

JINSI ya Kupata Barua ya Kuitwa Kazini bila kwenda Dodoma

Aidha Nakala za Barua za waajiri pia zinapatikana katika akaunti zao za Ajira Portal.

Hello Casino

Tags:

About the Author ()

Comments (2)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Samahan naomba nafasi ya jeshi nina umr wamika 22

    Nimemariza kidato cha nne mwaka 2023.nina ufaulu wa daraja la 4 alama 27.

  2. Samahan naomba nafasi ya jeshi nina umr wamika 22

    Nimemariza kidato cha nne mwaka 2023.nina ufaulu wa daraja la 4 alama 27. Nina vyet vyote cha darasa lasaba mpaka form 4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *