MAGAZETI ya Leo Jumatano 13 August 2025

Filed in Magazeti by on August 13, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 13 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 13 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 13 August 2025

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekusanya zaidi ya Sh86 bilioni katika harambee ya kukichangia kwa lengo la Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 na ujenzi wa chama hicho.

Harambee hiyo imefanyika usiku wa Jumanne, Agosti 12, 2025 katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi akiwa Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan.

Katibu Mkuu wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi amesema kati ya kiasi hicho Sh56.3 bilioni ni fedha taslimu na Sh30 bilioni ni ahadi. Malengo ni kukusanya Sh100 bilioni.

Rais Samia amewapongeza wote waliotoa huku akisema zitasaidia kwenye kampeni za uchaguzi kuanzia Agosti 28 hadi Oktoba 28, 2025 na uchaguzi huo utafanyika Jumatano ya Oktoba 29, 2025.

Amesema CCM imefanya mambo mengi kwa kutumia fedha zao lakini wameona waitishe harambee hiyo na kuwaomba waendelee kuchangia kwani muda bado upo.

Hello Casino

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *