MATOKEO ya Usaili wa Vitendo OSHA 15/06/2025

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo OSHA 15/06/2025
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo OSHA 15/06/2025
Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo Kutoka Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) uliofanyika tarehe 15/06/2025
Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili kama ilivyoelekezwa.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.