NAFASI Za Kazi Airtel Tanzania PLC

NAFASI Za Kazi Airtel Tanzania PLC
NAFASI Za Kazi Airtel Tanzania PLC
Airtel Tanzania Limited ni kampuni ya tatu kwa ukubwa ya mtandao wa simu nchini Tanzania inayoendeshwa na Airtel Africa, ambayo ni kampuni tanzu ya Bharti Airtel ya India, nyuma ya Vodacom Tanzania na Tigo/Yas Tanzania.
Kampuni hii ni sehemu ya Airtel Africa, waendeshaji wa mtandao wa simu barani Afrika na mtoa huduma mkubwa zaidi wa rununu barani Afrika nje ya Afrika Kusini, inayofanya kazi katika nchi 14 katika bara hili.
Airtel Tanzania, zamani Celtel Tanzania ina makao yake makuu Celtel House, Dar es Salaam, tarehe 1 Agosti 2008, Celtel ilibadilisha shughuli zake zote za Kiafrika kwa jina la Zain, baadae.
Kampuni hiyo inawaalika watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi za Ajira zilizotangazwa hapa chini;
Tags: NAFASI Za Kazi Airtel Tanzania PLC, NAFASI za Kazi Airtel Tanzania PLC Ajira Mpya

Kwa majina naitwa festo Leonard nina miaka 20 nime somea mambo ya clearing and forwarding nili kuwa naomba kazi number yangu 0687800646
Huduma zenu ni bora sana
Kwa majina naitwa David amosi lungwa ninamiaka 19 naomba kazi naomba yangu ni 0692443966
I like your service
Naomba kazi
Kwa majina naitwa Ester Jacob nina miaka 27 ninaomba kazi namba yangu ni 0762601934
Naitwa jumanne juma nimehitimu mafunzo ya chuo cha ufundi (VETA) KIPAWA fani ya ICT INFOMATION AND COMMUNICATION TECHNOROGY ngazi ya tatu naomba kazi 0685102049
naitwa Alhaji abdallah nina umri wa miaka 20 ni naomba kazi namaba yangu ni 0694939683 nina elimu ya kidato cha nne ila Chet changu kinaniruhusu kuendelea kujiunga na Maximo ya kidato cha tank ila tatizo La kiuchumi niko mtaan
Habari naitwa candy suley nina miaka 30 naomba kazi kwenye kampuni yenu ya airtel ahsanten no yangu 0783780025