NAFASI Za Kazi Karatu District Council

NAFASI Za Kazi Karatu District Council
NAFASI Za Kazi Karatu District Council
Kwa mujibu wa kibali cha ajira mbadala Kumb. Na. FA/97/228/01/A/25 cha tarehe
29.04.2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu anawatangazia nafasi za kazi Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.
