Tag: MAGAZETI ya Leo Jumapili 15 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 15 June 2025

Filed in Magazeti, Michezo by on June 15, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumapili 15 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 15 June 2025 Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema kuwa hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kusuluhisha mvutano uliokuwepo kati ya klabu za Yanga na Simba kuhusu ratiba ya mchezo wao, imeleta utulivu mkubwa kwa Taifa na mashabiki wa soka nchini. Akizungumza wakati wa hafla ya kukagua miradi […]

Continue Reading »