TANGAZO la Uchaguzi Mkuu TFF 2025

Filed in Michezo by on June 14, 2025 0 Comments
TANGAZO la Uchaguzi Mkuu TFF 2025

TANGAZO la Uchaguzi Mkuu TFF 2025

TANGAZO la Uchaguzi Mkuu TFF 2025, Tangazo la Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) 2025.

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatangaza Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika tarehe 16/08/2025 jijini Tanga.

NAFASI ZINAZOGOMBEWA NI:

  • Rais- Nafasi 1
  • Wajumbe wa Kamati ya Utendaji- Nafasi 6

GHARAMA ZA KUCHUKUA FOMU:

  • Nafasi ya Rais- 500,000/-
  •  Nafasi za Wajumbe wa Kamati ya Utendaji- 200,000/-

Fomu zitaanza kutolewa kuanzia siku ya Jumatatu tarehe 16 hadi 20/06/2025 saa 10 kamili jioni.

Fomu hizo zinapatikana Makao Makuu ya TFF na kwenye tovuti ya TFF.

Aidha Malipo ya fomu yafanyike Kupitia;

  • Benki ya NBC
  • Namba ya Akaunti: 012103025707
  • Jina la Akaunti: Tanzania Football Federation

Ukirejesha fomu ambatanisha na risiti ya malipo (Pay in slip)

Kalenda ya Uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

Kalenda ya Uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

Hello Casino

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *