Elimu

Elimu

JINSI ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita 2025

Filed in Elimu by on June 17, 2025 0 Comments
JINSI ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita 2025

JINSI ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita 2025JINSI ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Kupitia Makala hii utaweza Kufahamu namna au Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato Cha Sita mwaka 2025,NECTA hutoa Matokeo Kupitia hayo tovuti yao rasmi. Fuata hatua hizi hapa chini ili Kuangalia Matokeo yako: Tembelea Tovuti ya NECTA. Fungua […]

Continue Reading »

HESLB Vigezo vya Kupata Mkopo 2025/2026

Filed in Elimu by on June 9, 2025 0 Comments
HESLB Vigezo vya Kupata Mkopo 2025/2026

HESLB Vigezo vya Kupata Mkopo 2025/2026 HESLB Vigezo vya Kupata Mkopo 2025/2026, Kwa mujibu wa Sheria ya HESLB, Bodi hiyo imeweka vigezo vya jumla vya kuzingatiwa katika maombi ya Mikopo Mwaka 2025/2026. Mwombaji lazima akidhi vigezo vifuatavyo: Vigezo vya Jumla Awe ni Mtanzania asiyezidi miaka 35 wakati wa kutuma maombi. Awe amedahiliwa katika chuo cha […]

Continue Reading »

HESLB Miongozo Utoaji Mikopo na Ruzuku 2025/2026

Filed in Elimu by on June 9, 2025 0 Comments
HESLB Miongozo Utoaji Mikopo na Ruzuku 2025/2026

HESLB Miongozo Utoaji Mikopo na Ruzuku 2025/2026 Ijumaa ya tarehe 6 Juni 2025, Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (WyEST), Prof. Carolyne Nombo amezindua miongozo ya utoaji mikopo na ruzuku kwa wanafunzi wa Elimu ya juu na Vyuo vya kati kwa mwaka 2025/2026 kuanzia ngazi ya Stashahada hadi Shahada za Juu. Miongozo […]

Continue Reading »

MWONGOZO na Vigezo vya Samia Scholarship 2025/2026

Filed in Elimu by on June 9, 2025 0 Comments
MWONGOZO na Vigezo vya Samia Scholarship 2025/2026

MWONGOZO na Vigezo vya Samia Scholarship 2025/2026, Guidelines and Criteria to Samia Scholarship Students for Academic Year 2025/2026. Waombaji wote wa SAMIA SCHOLARSHIP kwa mwaka wa masomo 2025/2026 wanatakiwa kuzingatia yafuatayo kwenye Kitabu Cha Mwongozo na Sifa Za SAMIA SCHOLARSHIP kwa mwaka wa masomo 2025/2026. SIPA Loan Allocation Status BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA KITABU […]

Continue Reading »

FOMU Za Kujiunga na Kidato Cha Tano

Filed in Elimu by on June 9, 2025 0 Comments
FOMU Za Kujiunga na Kidato Cha Tano

FOMU Za Kujiunga na Kidato Cha Tano,Form Five Joining Instructions Fomu za kujiunga kidato cha tano, “Form five Joining Instructions,” ni mwongozo rasmi unaotolewa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Mwongozo huu una taarifa muhimu kwa Wanafunzi na Wazazi pamoja na Walezi kuhusu Shule ambayo Mwanafunzi amepangiwa, tarehe ya […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Mtihani wa Mock 2025 Mkoa wa Morogoro

Filed in Elimu by on June 8, 2025 0 Comments
MATOKEO ya Mtihani wa Mock 2025 Mkoa wa Morogoro

MATOKEO ya Mtihani wa Mock 2025 Mkoa wa Morogoro Haya hapa Matokeo Mtihani wa Utamirifu (Mock) 2025 Darasa la Saba (VII) Mkoa Wa Morogoro. BONYEZA HAPA KUTAZAMA MATOKEO

Continue Reading »

SIFA za Kujiunga na Chuo cha Serikali za Mitaa

Filed in Elimu by on June 8, 2025 0 Comments
SIFA za Kujiunga na Chuo cha Serikali za Mitaa

SIFA za Kujiunga na Chuo cha Serikali za Mitaa Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo (LGTI) kilichopo Dodoma ni taasisi ya elimu inayotoa mafunzo mbalimbali kwa lengo la kuimarisha ujuzi na maarifa katika usimamizi wa serikali za mitaa na maendeleo ya jamii. Chuo hiki kinatoa kozi mbalimbali zinazolenga kuboresha utendaji kazi wa watumishi wa umma […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Mtihani wa Mock 2025 Mkoa wa Arusha

Filed in Elimu by on June 8, 2025 0 Comments
MATOKEO ya Mtihani wa Mock 2025 Mkoa wa Arusha

MATOKEO ya Mtihani wa Mock 2025 Mkoa wa Arusha Haya hapa Matokeo Mtihani wa Utamirifu (Mock) 2025 Darasa la Saba (VII) Mkoa Wa Arusha. BONYEZA HAPA KUTAZAMA MATOKEO SOMA ZAIDI HAPA

Continue Reading »

PROF Nombo Azindua Miongozo Utoaji Mikopo na Ruzuku 2025/2026

Filed in Elimu by on June 7, 2025 0 Comments
PROF Nombo Azindua Miongozo Utoaji Mikopo na Ruzuku 2025/2026

PROF Nombo Azindua Miongozo Utoaji Mikopo na Ruzuku 2025/2026 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (WyEST), Prof. Carolyne Nombo amezindua miongozo ya utoaji mikopo na ruzuku kwa wanafunzi wa elimu ya juu na vyuo vya kati kwa mwaka 2025/2026 kuanzia ngazi ya Stashahada hadi Shahada za Juu Ijumaa ya tarehe 6 Juni […]

Continue Reading »

Waliochaguliwa Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2025

Filed in Elimu, Michezo by on June 6, 2025 4 Comments
Waliochaguliwa Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2025

Waliochaguliwa Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2025,Selection Form Five 2025, Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Tano 2025 na Vyuo vya Kati, Form five Selection 2025. Uchaguzi wa wanafunzi kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya kati, Selection Form Five au form five slection ni utaratibu uliowekwa na Serikali ya Tanzania kupitia Wizara […]

Continue Reading »