MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 21/06/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on June 21, 2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 21/06/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 21/06/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 21/06/2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-09-2024 na tarehe 18-05-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kamanyalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Majina mengine ya Walioitwa Kazini UTUMISHI mwezi huu June 2025 tazama hapa chini.

BARUA YA KUITWA KAZINI BONYEZA HAPA.

Hello Casino

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *